Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1888

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1888 ulikuwa wa 26 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 6 Novemba. Upande wa "Republican Party", Benjamin Harrison (pamoja na kaimu wake Levi Morton) alimshinda mgombea wa "Democratic Party" Rais Grover Cleveland (pamoja na kaimu wake Allen Thurman).

Matokeo hariri

Harrison akapata kura 233, na Cleveland 168. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.