Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1896

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1896 ulikuwa wa 29 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 4 Novemba. Upande wa "Republican Party", William McKinley (pamoja na kaimu wake Garret Hobart) alimshinda mgombea wa "Democratic Party" William Jennings Bryan (pamoja na kaimu wake Arthur Sewall).

Matokeo hariri

McKinley akapata kura 271, na Bryan 176. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.