Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1916

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1916 ulikuwa wa 33 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 7 Novemba. Upande wa "Democratic Party", Rais Woodrow Wilson (pamoja na kaimu wake Thomas Marshall) alimshinda mgombea wa "Republican Party" Charles Hughes (pamoja na kaimu wake Charles Fairbanks).

Matokeo hariri

Wilson akapata kura 277, na Hughes 254. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.