Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1940
Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1940 ulikuwa wa 39 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 5 Novemba. Upande wa "Democratic Party", Rais Franklin D. Roosevelt (pamoja na kaimu wake Henry A. Wallace) alimshinda mgombea wa "Republican Party" Wendell Willkie (pamoja na kaimu wake Charles McNary).
Matokeo
haririRoosevelt akapata kura 449 na Willkie 82. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |