Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1996

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1996 ulikuwa wa 53 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 5 Novemba. Upande wa "Democratic Party", Rais Bill Clinton (pamoja na kaimu wake Al Gore) alimshinda mgombea wa "Republican Party" Bob Dole (pamoja na kaimu wake Jack Kemp).

Matokeo hariri

Clinton akapata kura 379, na Dole 159. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.