Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 2000

Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 2000 ulikuwa wa 54 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 7 Novemba. Upande wa "Republican Party", mgombea George W. Bush (pamoja na kaimu wake Dick Cheney) alimshinda mgombea wa "Democratic Party" Al Gore (pamoja na kaimu wake Joseph Lieberman).

MatokeoEdit

Bush akapata kura 271, na Gore 266. Ramani yaonyesha kura kwa kila jimbo.