Uhakiki wa Pythagoras

Katika hisabati, uhakiki wa Pythagoras ni taarifa juu ya pande zote ya pembetatu mraba.

Pythagorean.svg

Fomula yake ni a2 + b2 = c2 inayomaanisha ya kwamba kwenye pembetatu mraba jumla ya miraba juu ya miguu inayokutana kwenye pembemraba (cathetus) ni sawa na mraba juu ya kiegema (hypotenuse, upande usiounganishwa na pembemraba).

UshahidiEdit

 
Ushahidi wa Leonardo da Vinci.

Kurasa zinazohusianaEdit