Uhusiano (Takwimu)

Katika takwimu, Uhusiano (kwa Kiingereza: correlation) ni kiasi cha ongezeko ambacho vibadilika viwili ni vinahusiana.

Uhusiano wa Pearson tofauti.

Unapatwa kwa hesabu kama Uhusiano wa Pearson, Uhusiano wa Spearman au Uhusiano wa Kendall.

Uhusiano haulingani na sababu (causality).

Kwa programu ya takwimu R

hariri

Ili utafute Uhusiano wa Pearson kwa lugha ya programu ya takwimu R uandike:

> cor(x,y, method="pearson")

Ili utafute Uhusiano wa Spearman kwa lugha ya programu ya takwimu R uandike:

> cor(x,y, method="spearman")

Ili utafute Uhusiano wa Kendall kwa lugha ya programu ya takwimu R uandike:

> cor(x,y, method="Kendall")

Marejeo

hariri
  • Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). An introduction to probability and statistics. Wiley.
  • Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). Introduction to statistics and data analysis. Cengage Learning.
  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uhusiano (Takwimu) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.