Uislamu nchini Eritrea

Uislamu kwa nchi
Continents colour2.svg

Uislamu nchini Eritrea ni dini ya pili kwa wingi wa waumini ambayo inafuatwa sana baada ya Ukristo ikiwa na asilimia 36-48 za wakazi wote.

HistoriaEdit

Imani hiyo iliwasili nchini Eritrea mapema sana, muda mfupi baada ya Hijira.[1]

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. J. Spencer Trimingham. 1952.

Viungo vya njeEdit

JisomeeEdit