Uislamu nchini Liberia

Uislamu nchini Liberia unakadiriwa kufuatwa na watu karibia asilimia 12.2 ya idadi ya wakazi wote wa nchini humo.[1]

Msikiti mjini Voinjama.
Uislamu kwa nchi

Sehemu kubwa ya Waislamu wa Liberia ni wale wanaofuata mafundisho ya Maliki dhehebu la Sunni, kukiwa na idadi kiasi ya Shia na Ahmadiyya.[2] Kundi kubwa la Waislamu nchini humo ni la kabila la Wavai na Mandingo lakini pia Wagbandi, Kpelle na jamii zingine ndogondogo.[3]

Marejeo hariri

  1. "International Religious Freedom Report 2010: Liberia". United States Department of State. November 17, 2010. Iliwekwa mnamo July 22, 2011.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "The World's Muslims: Unity and Diversity". Pew Forum on Religious & Public life. August 9, 2012. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-10-24. Iliwekwa mnamo August 14, 2012.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. Larkin, Barbara (2001). International Religious Freedom (2000): Report to Congress by the Department of State. uk. 46. 

Viungo vya nje hariri