Uislamu nchini Uganda
Uislamu nchini Uganda umekadiriwa kuwa ni asilimia 12 tu ya wakazi wote wa nchini humo hasa kwa hesabu waliofanya ya sensa ya mwaka wa 2002.[1] Sehemu kubwa ya Waislamu wa nchini humo ni wale wanaofuata dhehebu la Sunni. Wapo kiasi pia Shia na Ahmadiyya.[2]
Uislamu kwa nchi |
Takwimu za hivi karibuni
haririSensa ya taifa ya mwaka wa 2002 ilikerediwa na kuonesha kuna Waislamu asilimia 12.1 katika jumla ya idadi ya wakazi wote wa nchini humo.
Dini | % Waislamu |
---|---|
Kati | 18.4% |
Mashariki | 17.0% |
Kaskazini | 8.5% |
Magharibi | 4.5% |
Jumla | 12.1% |
Tazama pia
haririMarejeo
hariri- ↑ "2002 Uganda Population and Housing Census - Main Report" (PDF). Uganda Bureau of Statistics. Iliwekwa mnamo 2008-03-26.
- ↑ "The World's Muslims: Unity and Diversity" (PDF). Pew Forum on Religious & Public life. Agosti 9, 2012. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2012-10-24. Iliwekwa mnamo Agosti 14, 2012.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
- This article incorporates public domain material from websites or documents of the Library of Congress Country Studies.