Uislamu nchini Zimbabwe

Uislamu kwa nchi

Ujio wa Uislamu nchini Zimbabwe unarudi nyuma kabisa katika karne ya Hijri ya nne wakati Waislamu wanaanzisha imarati katika pwani ya Afrika Mashariki. Katika zama hizo wafanyabiasha wa Kiislamu walipanua biashara zao hadi maeneo ya ndani na kufikia Zambia katika zama za nasaba ya Omani Al Bu Said. . [1]

Kwekwe Mosque

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya Nje hariri