Ujasiriamali ni kitendo cha kuunda, kutangaza na kuendesha biashara ambayo mara nyingine huwa biashara ndogo. Watu wanaoanzisha ujasiriamali huitwa wajasiriamali.

Mjasiliamali

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ujasiriamali kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.