Ukarabati

ukarasa wa maana wa Wikimedia


Ukarabati au rehab unaweza kuelezea:

Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina dictionary definitions (word meanings):

Afya hariri

Afya ya kiakili hariri


Teknolojia zinazotumika hariri

  • Uhandisi wa ukarabati, matumizi ya sayansi ya uhandisi kupanga, kuendeleza, kushikanisha, kujaribia, kutathmini, kutumia, na kusambaza ufumbuzi wa teknolojia kwa matatizo yanayowakabili watu wenye ulemavu
  • Ukarabati roboti, matumizi ya vifaa kusaidia katika ukarabati
  • Ukarabati ki-simu, utoaji wa huduma za ukarabati kupitia mawasiliano ya mitandao na intaneti.


Kimazingira hariri

  • Ukarabati wa wanyamapori , matibabu kwa wanyamapori waliojeruhiwa kwa lengo la kuwaandaa kurudi mwituni
  • Ukarabati wa ardhi, mchakato wa kurejesha sehemu ya nchi, baada ya mchakato wa aina fulani (biashara, viwanda, majanga asilia nk) kuiharibu


Muziki hariri


Matumizi mengine hariri


 
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.