Ukoko ni mabaki magumu ya chakula yanayobaki kwenye sufuria ambapo chakula, kwa mfano wali ukipikwa na kupakuliwa chote hutokea hubaki yale mabaki ya wali.

Kila mahali kuna watu wanaopenda sana kula ukoko, ingawa pengine wanajizuia kwa sababu ya aibu.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ukoko kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.