Ukumbi wa Maigizo ya Ishara
Ukumbi wa michezo huko Moscow, Urusi
Ukumbi wa Maigiza ya Ishara ni ukumbi wa michezo uliopo katika Okrug ya Utawala ya Mashariki huko Moscow, Urusi.[1] Ukumbi huu unatoa vipindi maalum kwa watu wasiosikia.
Ukumbi wa michezo upo kwenye Izmailovsky bulv., 39/41 (kituo cha metro cha Pervomayskaya).[2]
Marejeo
hariri- ↑ Moscow International Portal Archived 2009-09-02 at the Wayback Machine by Department of Foreign Economic and International Relations of the City of Moscow
- ↑ Places/Theatres en Expat.ru