Muawiya

ukarasa wa maana wa Wikimedia
(Elekezwa kutoka Umayyad)

Muawiya (pia: Umayyad, Omayyad) ni jina la Kiarabu. Linaweza kumaanisha

  • mara nyingi Muawiya I (Muawiya ibn Abu Sufyan) aliyekuwa khalifa wa Uislamu kati ya 661 hadi 680
  • nasaba ya Wamuawiya lililoanzishwa na Muawiya I na kutawala nchi za Waislamu hadi mwaka 750; baadaye walitawala Hispania pekee hadi mwaka 1031.
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.