Uonyesho wa fuwelemaji

Katika utarakilishi, uonyesho wa fuwelemaji ((pia: zinzo fuwelemaji[1]; kwa Kiingereza: liquid crystal display) ni uonyesho wa paneli bapa unaotumia sifa bainifu za fuwelemaji kutokeza picha. Uonyesho wa fuwelemaj ni aina mojawapo ya uonyesho.

Mchoro wa uendeshaji wa uonyesho wa fuwelemaji.

TanbihiEdit

  1. ISTILAHI ZA KISWAHILI CHA KOMPYUTA – Mwalimu Wa Kiswahili (en-US). Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-04-21. Iliwekwa mnamo 2020-12-14.

MarejeoEdit

  • Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.