Upagani mamboleo

Upagani mamboleo ni msamiati unaotumiwa na Wakristo kadhaa kuhusu hali ya watu wengi katika nchi zilizoendelea kutekwa na teknolojia, mawasiliano na malimwengu kwa jumla kiasi cha kutoona umuhimu au hata uwepo wa Mungu katika maisha yao.

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Upagani mamboleo kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.