Upelelezi
(Elekezwa kutoka Upelelezi (maana))
Kazi ya upelelezi inaweza kuwa inamaanisha:
- Upelelezi (Jiografia) unalenga kujua zaidi kuhusu mahali (uvumbuzi)
- Upelelezi (Sheria) unalenga kujua zaidi juu ya mtu na matendo yake ili kupata ushahidi kuhusu kesi
- Umbeya ni kutaka kujua zaidi juu ya mtu bila lengo muhimu