Urban Legend ni albamu ya tatu kutoka kwa mwanamuziki T.I., iliyotolewa mnamo 30 Novemba 2004 ambapo kulikuwa na mafanikio ya Single yake: "Bring 'Em Out".[1]

Urban Legend
Urban Legend Cover
Kasha ya alabmu ya Urban Legend.
Studio album ya T.I.
Imetolewa 30 Novemba 2004
Imerekodiwa 2004
Aina Southern rap
Urefu 71:35
Lugha Kiingereza
Lebo Grand Hustle Records
Atlantic Records
Mtayarishaji Clifford Harris (Exec.)
Jason Geter (Exec.) Daz Dillinger, DJ Toomp, Jazze Pha, Lil Jon, Khao, KLC, Mannie Fresh, The Neptunes, Nick "Fury" Loftin, Sanchez Holmes, Scott Storch, Shorty B, Swizz Beatz
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za T.I.
Trap Muzik
(2003)
Urban Legend
(2004)
King
(2006)
Single za kutoka katika albamu ya Urban Legend
  1. "Bring 'Em Out"
    Imetolewa: 19 Oktoba 2004
  2. "U Don't Know Me"
    Imetolewa: 11 Januari 2005
  3. "ASAP"
    Imetolewa: 24 Mei 2005
  4. "Motivation (side 2)"


Historia hariri

Albamu hii iliwahusisha wasanii kama Trick Daddy, Nelly, Lil' Jon, B.G., Mannie Fresh, Daz Dillinger, Lil Wayne, Pharrell, P$C, Lil' Kim & Big Kuntry King, Daz Dillinger, Shorty B, Lil' Jon, Scott Storch, Jazze Pha, The Neptunes, DJ Toomp, Khao, Sanchez Holmes, na Mannie Fresh. Nakala 193,000 ziliuzwa kwenye wiki ya kwanza.

Albamu hii iliuza zaidi ya nakala 1,000,000 nchini Marekani.

Single hariri

Single ya kwanza ilikuwa ni "Bring 'Em Out", ambayo ilichezwa sana kwenye redio. Single ya pili ni "U Don't Know Me", ilithibitishwa Platinum na RIAA.[2]

Nyimbo zake hariri

# Jina Mtayarishaji Walioshirikishwa Urefu
1 "Tha King" Nick "Fury" Loftin 3:24
2 "Motivation" DJ Toomp 3:34
3 "You Don't Know Me" DJ Toomp 4:03
4 "ASAP" Sanchez Holmes 4:44
5 "Prayin' For Help" Sanchez Holmes 4:22
6 "Why You Mad At Me" Khao 3:53
7 "Get Loose" Jazze Pha Nelly 4:12
8 "What They Do" KLC B.G. 3:48
9 "The Greatest" Mannie Fresh Mannie Fresh 4:22
10 "Get Your Shit Together" Scott Storch Lil' Kim 4:05
11 "Freak Though" The Neptunes Pharrell 3:43
12 "Countdown" David Banner 4:55
13 "Bring 'Em Out" Swizz Beatz 3:36
14 "Limelight" Khao P$C 5:03
15 "Chillin' With My Bitch" Scott Storch Jazze Pha 3:56
16 "Stand Up" Lil Jon Lil Jon & Trick Daddy & Lil Wayne 4:42
17 "My Life" Daz Dillinger, co-produced by Shorty B Daz Dillinger 5:13

Sampuli hariri

Tha King

  • "King Of Rock" and "Hit It Run" by Run-DMC

Prayin' for Help

Why U Mad at Me

Bring Em Out

  • "What More Can I Say" by Jay-Z

Limelight

  • "I'll Never Let You Go" by Leon Sylvers

Chati hariri

Chati (2004) Namba
U.S. Billboard 200 7
U.S. Top Billboard R&B/Hip-Hop Albums 1
U.S. Top Billboard Rap Albums 1

Marejeo hariri

  1. Allmusic - T.I.
  2. "RIAA - Gold & Platinum". RIAA. Iliwekwa mnamo 2009-03-01.