Usafi wa moyo

Neno usafi wa moyo unatumika mara nyingi kuelezea adili ambalo linapingana na uzinifu na kutegemea kiasi. Kwa maana hiyo unawahusu watu wanaojua kutawala maelekeo ya kijinsia yaweze kujenga maisha yao binafsi, familia na hata jamii.

Mchoro wa Domenichino unaodokeza usafi wa moyo.

Neno hilo lilivyotumiwa na Yesu katika Hotuba ya mlimani lina maana pana zaidi na kuhusisha unyofu wa dhamiri kwa jumla.

Viungo vya njeEdit