Ussi Amme Pandu

(Elekezwa kutoka Ussi Ame Pandu)

Ussi Amme Pandu (amezaliwa tarehe 23 Oktoba 1959) ni mbunge wa jimbo la Mtoni katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Ussi Amme Pandu". 19 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-27. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.