Utena
Utena ni mji wa viwanda na wa pumziko nchini Lituanya. Kuna wakazi 32,483 (mwaka 2009).
Mji ulianzishwa mwaka 1599.
JiografiaEdit
Eneo lake ni km² 15,1.
PichaEdit
Makala hii kuhusu maeneo ya Lituanya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Utena kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |