Katika utarakilishi na mawasiliano, uthibitishaji (pia: uhalalishaji[1]; kwa Kiingereza: authentication) ni tendo la kuthibitisha dai, kama katika utambulisho wa mtumiaji wa mfumo wa uendeshaji.

Mtumiaji wa mashine ya kutolea pesa kuthibitishwa.

Tanbihi hariri

  1. "Tumia kufuli ya skrini kwenye simu yako | Nokia phones". www.nokia.com. Iliwekwa mnamo 2020-11-10. 

Marejeo hariri

  • Kiputiputi, O. (2011). Kamusi sanifu ya kompyuta. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, K.602.
  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.