Uvamizi
Uvamizi (pia: uvamiaji, kutoka kitenzi "kuvamia"; Kiing. invasion) ni tendo la kuingia mahali kwa nguvu na mara nyingi kwa kushtukiza hasa kwa lengo la kumiliki eneo au walau kutwaa mali iliyopo.
Unaweza kufanywa na mtu binafsi au na umati, kama vile katika vita vingi.
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uvamizi kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |