Uwanja mpya wa michezo wa Jos

Uwanja wa Kimataifa wa Jos ni uwanja wa matumizi mengi huko Jos, Plateau, Nigeria. Unatumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watazamaji 44,000. Utakuwa uwanja wa nyumbani wa Plateau United.

Uwanja wa kimataifa wa Jos ni Uwanja wa michezo wa kimataifa wenye matumizi mbalimbali huko Jos, Jimbo la Plateau nchini Nigeria. Unatumika zaidi kwa mchezo wa mpira wa miguu (Soka) . Uwanja huo unatarijiwa kufunguliwa hivi karibuni, utakua na uwezo wa kuchukua takribani watazamaji 44,000. Ni uwanja wa nyumbani wa timu ya mpira ya Plateau United F.C.[1]

Marejeo hariri

  1. "Completed new Jos stadium will be big for Plateau United – Ex-club chief". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-04. Iliwekwa mnamo 2021-06-07. 
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja mpya wa michezo wa Jos kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.