Uwanja wa Kenema Town

Jengo nchini Sierra Leone

Uwanja wa michezo wa Kenema ni uwanja wa michezo uliopo katika eneo la [Kenema] nchini Sierra Leone.Uwanja huo hutumika sana kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu na ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Kamboi Eagles.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Kenema Town kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.