Uwanja wa Lake Tanganyika
Uwanja wa Lake Tanganyika ni uwanja unaotumika kwa ajili ya michezo tofauti tofauti katika Wilaya ya Kigoma-Ujiji, Kigoma, Tanzania. Unatumika zaidi kwa mechi za mpira wa miguu. Uwanja huo unachukua watu takribani 20,000.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Lake Tanganyika Stadium, Kigoma, Tanzania Tourist Information". www.touristlink.com (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-05-21.