Uwanja wa Mashujaa (Zambia)
Uwanja wa mpira nchini Zambia
Uwanja wa taifa wa Heroes ni uwanja wa michezo ya soka unaotumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya taifa ya Zambia ukiwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 60,000 , ulifunguliwa mnamo mwaka 2014.
Uwanja huu unapatikana karibu na mpaka wa wilaya ya Chibombo katika barabara kuu ya Zambia.[1] [2]
Uwanja huu ni kwa ajili ya kumbukumbu ya vifo vya wachezaji wa Zambaia vilivyotokea kutokana na ajali ya ndege katika mwaka 1993.
Marejeo
hariri- ↑ http://tripsuccor.com/zambia/places/heroes-national-stadium-stadium-chibombo-central Ilihifadhiwa 25 Aprili 2019 kwenye Wayback Machine. Kigezo:Deadlink
- ↑ https://www.google.co.zm/maps/place/National+Heroes+Stadium/@-15.3697264,28.2707555,17z/data=!3m1!4b1!4m5!3m4!1s0x1940f51ee7adc985:0xa51130a60330ea94!8m2!3d-15.3697264!4d28.2729442
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Mashujaa (Zambia) kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |