Uwanja wa Michezo wa Jamhuri (Morogoro)

Uwanja wa Jamhuri ni uwanja wa michezo uliopo katika mkoa wa Morogoro nchini Tanzania.Uwanja huu hutumika sana kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu na pia ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Moro United ukiwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 20,000 .

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Jamhuri (Morogoro) kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.