Uwanja wa Michezo wa Kuisebmund

Uwanja wa michezo wa Kuisebmund ni uwanja wa wazi huko Walvis Bay nchini Namibia. Ni uwanja wa nyumbani kwa timu kadhaa katika Ligi Kuu ya Namibia pamoja na vilabu vya mpira kama Eleven Arrows na Blue Waters FC . Uwanja una uwezo wa kuhimili watu 4,000.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Kuisebmund kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.