Uwanja wa Michezo wa Ota

Uwanja wa Michezo wa Ota ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1974 kwenye mji wa Ōta, Gunma Kantō nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Panasonic Wild Knights na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 20,000 (expanded).[1]

Uwanja wa Michezo wa Ota Athletic

Marejeo

hariri
  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Ota kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.