Uwanja wa Michezo wa Oyasato Rugby

Uwanja wa Michezo wa Oyasato Rugby ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1984 kwenye mji wa Tenri, Nara nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Tenri University na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,800.[1]

Uwanja wa Michezo wa Oyasato Rugby

Marejeo

hariri
  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Oyasato Rugby kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.