Uwanja wa Michezo wa Parque Artigas

Uwanja wa Michezo wa Parque Artigas ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Uruguay. Ulitengenezwa mnamo mwaka 2008 kwenye mji wa Las Piedras nchini Uruguay. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Boston River na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 12,000.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Viwanja Vya mpira nchini Uruguay". www.es.fifa.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-01. Iliwekwa mnamo 2024-12-12.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Parque Artigas kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.