Uwanja wa Michezo wa Pikara

Uwanja wa Michezo wa Pikara ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1997 kwenye mji wa Marugame, Kagawa nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Kamatamare Sanuki na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 30,099.[1]

Uwanja wa Michezo wa Pikara

Marejeo

hariri
  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Pikara kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.