Uwanja wa Michezo wa Prifoods
Uwanja wa Michezo wa Prifoods ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2016 kwenye mji wa Hachinohe, Aomori nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Vanraure Hachinohe na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,200.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Prifoods kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |