Uwanja wa Michezo wa Saga Athletics

Uwanja wa Michezo wa Saga Athletics ni uwanja wa michezo nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1970 kwenye mji wa Saga, Saga Kyushu nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Sagan Tosu na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 17,000.[1]

Uwanja wa Michezo wa Saga Athletics

Marejeo

hariri
  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Saga Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.