Uwanja wa Michezo wa Sagamihara Gion

Uwanja wa Michezo wa Sagamihara Gion ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2007 kwenye mji wa Minami-ku, Sagamihara Kantō nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya S.C. Sagamihara, F.C. Machida Zelvia (2010) na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 15,300.[1]

Uwanja wa Michezo wa Sagamihara Gion

Marejeo

hariri
  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Sagamihara Gion kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.