Uwanja wa Michezo wa Saitama 2002

Uwanja wa Michezo wa Saitama 2002 ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2001 kwenye mji wa Saitama City, Saitama nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Japan national football team, Urawa Red Diamonds na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 63,700.[1]

Uwanja wa Michezo wa Saitama 2002

Marejeo

hariri
  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Saitama 2002 kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.