Uwanja wa Michezo wa Sankyo Frontier Kashiwa
Uwanja wa Michezo wa Sankyo Frontier Kashiwa ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1986 kwenye mji wa Kashiwa, Chiba Kantō nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Kashiwa Reysol na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 15,349.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Sankyo Frontier Kashiwa kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |