Uwanja wa Michezo wa Shirakobato
Uwanja wa Michezo wa Shirakobato ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa kwenye mji wa Koshigaya, Saitama nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,900.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Shirakobato kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |