Uwanja wa Michezo wa Shiranami

Uwanja wa Michezo wa Shiranami ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1972 kwenye mji wa Kagoshima city, Kagoshima Kyushu nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Kagoshima United FC, Je Vrille Kagoshima na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 19,934.[1]

Uwanja wa Michezo wa Shiranami

Marejeo

hariri
  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Shiranami kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.