Uwanja wa Michezo wa Shizuoka
Uwanja wa Michezo wa Shizuoka ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 2001 kwenye mji wa Fukuroi, Shizuoka nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Jubilo Iwata, Shimizu S-Pulse (chagua mechi) na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 50,889.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Shizuoka kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |