Uwanja wa Michezo wa Shizuoka Ashitaka Athletics

Uwanja wa Michezo wa Shizuoka Ashitaka Athletics ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1996 kwenye mji wa Numazu, Shizuoka nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Azul Claro Numazu na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 10,000.[1]

Uwanja wa Michezo wa Shizuoka Ashitaka Athletics

Marejeo

hariri
  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Shizuoka Ashitaka Athletics kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.