Uwanja wa Michezo wa Sisa Dukashe
Uwanja wa michezo wa Sisa Dukashe ni uwanja wa shughuli mbalimbali za kimichezo huko Mdantsane, karibu na Eastern Cape nchini Afrika Kusini. Hivi sasa unatumiwa zaidi katika mchezo wa mpira wa miguu na mchezo wa ragbi.[1]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Sisa Dukashe kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |