Uwanja wa Michezo wa South Park Football
Uwanja wa Michezo wa South Park Football ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka kwenye mji wa Morioka, Iwate nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Grulla Morioka na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,000.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa South Park Football kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |