Uwanja wa Michezo wa Suizenji

Uwanja wa Michezo wa Suizenji ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1960 kwenye mji wa Kumamoto Kyushu nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Roasso Kumamoto na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 15,000.[1]

Uwanja wa Michezo wa Suizenji

Marejeo

hariri
  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Suizenji kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.