Uwanja wa Michezo wa Takebishi Kyoto

Uwanja wa Michezo wa Takebishi Kyoto ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1942 kwenye mji wa Kyoto city, Kyoto nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Kyoto Sanga FC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 20,688.[1]

Uwanja wa Michezo wa Takebishi Kyoto

Marejeo

hariri
  1. "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Takebishi Kyoto kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.