Uwanja wa Michezo wa Tokushima City Field
Uwanja wa Michezo wa Tokushima City Field ni uwanja wa mpira wa miguu nchini Japani. Ambao ulizinduliwa mnamo mwaka 1933 kwenye mji wa Tokushima city, Tokushima nchini Japani. Uwanja huu hutumiwa na timu ya Otsuka Pharmaceutical SC na una uwezo wa kuhifadhi mashabiki 5,600.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Viwanja Vya mpira nchini Japani". www.stadiumdb.com.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Tokushima City Field kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |